KITOVU CHA KISWAHILI (SWAHILI HUB)

Authors

  • Stephen J. Maina Author

DOI:

https://doi.org/10.2023/nqbk2w57

Abstract

Kampuni ya Nation Media Group (NMG) imekuwa mstari wa mbele katika ukuzaji wa lugha ya Kiswahili kupitia vitengo vyake mbalimbali. Mojawapo ya vitengo hivyo ni Swahili Hub ambacho ni tovuti iliyoanzishwa mwaka wa 2016 na Meneja wa Ubora wa Vipindi vya Kiswahili, wakati huo, Ken Walibora. Tangu wakati huo hadi sasa Swahili Hub imechangia sana katika kukuza na kusambaza Kiswahili kupitia vipengele mbalimbali vinavyoshughulikiwa. Makala haya yanaangazia baadhi ya vipengele hivyo na kuonesha umuhimu wa Swahili Hub katika jitahada za kukikuza Kiswahili kidijiti kwa wadau mbalimbali.

Downloads

Download data is not yet available.

Published

2025-01-22

How to Cite

Maina, S. J. (2025). KITOVU CHA KISWAHILI (SWAHILI HUB). JARIDA LA CHAUKIDU, 229-235. https://doi.org/10.2023/nqbk2w57