JAZANDA YA MAJINA YA MAONESHO KATIKA TAMTHILIA ZA KISWAHILI:
MIFANO YA TAMTHILIYA ZA NGOSWE PENZI KITOVU CHA UZEMBE NA CHANZO NI WEWE
DOI:
https://doi.org/10.2023/rg4z2q28Abstract
Makala haya yanahusu jazanda ya majina ya maonesho katika tamthiliya za Kiswahili: huku mifano ikitolewa kutoka tamthilia za Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe ya E. Semzaba na Chanzo ni Wewe ya W. Himu. Makala yanachambua jinsi jazanda zilizotumika kubuni majina ya maonesho zinavyosaidia kudokeza mawazo ya msingi katika onesho husika. Mjadala unajikita kuonesha namna watunzi hao walivyoepuka majina zoefu ya maonesho ambayo pengine ni majina ya kimapokeo. Tamthiliya nyingi hutumia majina kama vile onyesho, kitendo, sehemu
n.k. Watunzi hawa wamekuwa wabunifu kwa kukiuka kaida fulani zilizozoeleka na kutoa majina yenye kutafakarisha zaidi. Mwisho, makala yanaonesha jinsi jazanda za majina ya maonesho katika tamthiliya teule zinavyoakisi migongano ya wahusika ndani ya maonesho ya tamthilia hizo. Uakisi huo unajibainisha katika mfuatano, muendelezano na mkamilishano wa matukio, vitendo na maonyesho ndani ya tamthiliya hizo. Nadharia ya Usasa ndiyo mwongozo wa ufafanuzi wa makala haya. Nadharia hii hutumiwa kuzielezea au kuzitambulisha sifa mpya za dhamira, tanzu, dhana na mitindo ya kifasihi inayojitenga na misingi na jadi ya sanaa na utamaduni wa Kimagharibi au uliokuwapo
Downloads
Published
Issue
Section
License
Copyright (c) 2025 JARIDA LA CHAUKIDU
This work is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial 4.0 International License.
License Terms Under CC Attribution-NonCommercial 4.0 (CC BY-NC 4.0)
1. Scope of Use
- Readers who purchase access to the journal articles are permitted to:
- Read: Access and view the content for personal use.
- Share: Share the purchased article in limited, non-commercial ways (e.g., with colleagues for educational or research purposes).
- Adapt: Create derivative works (e.g., summaries or adaptations) for non-commercial purposes.
2. Conditions of Use
- Attribution:
- Proper credit must be given to the author(s) and the journal when sharing or adapting content.
- Attribution must include the author(s)’ names, the article title, journal name, volume/issue, and a link to the journal or article DOI.
- Changes made to the work must be clearly indicated and properly attributed.
- NonCommercial:
- Articles may not be used for commercial purposes, including but not limited to resale, redistribution for financial gain, or inclusion in commercial products or services.
- Institutional use (e.g., for training or workshops) must comply with non-commercial terms unless explicit permission is granted by the journal.
3. Access and Sharing Restrictions
- Paid Access: Access to the journal articles is limited to subscribers or individuals who purchase the articles. Unauthorized distribution or sharing of the full article is prohibited.
- No Additional Restrictions: Readers may not apply further legal or technical restrictions that limit others from using the content as allowed by this license.
4. Prohibited Uses
- Articles may not be:
- Distributed on commercial platforms without explicit permission.
- Used in any activity that generates direct or indirect monetary profit (e.g., as part of paid courses or events) without prior approval from the journal.
- Modified for purposes that could misrepresent the original intent of the work.
5. Disclaimer
- The content is provided “as is,” without any guarantees or warranties from the authors or the journal.
- Neither the authors nor the journal accept liability for any claims, damages, or issues arising from the use of the article.
6. Additional Notes
- For Readers: Purchased content is for personal, educational, or research use only, subject to the non-commercial and attribution conditions.
- For Institutions: Institutions purchasing bulk access or subscriptions must ensure that access is limited to registered users and complies with non-commercial use conditions.
For the full legal text of the CC BY-NC 4.0 license, visit:
https://creativecommons.org/licenses/by-nc/4.0/legalcode